0
Mwanamke mmoja (pichani) aliyedaiwa kuwa ni mke wa mtu ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, hivi karibuni alikumbwa na aibu ya mwaka baada ya kutuhumiwa kwa wizi wa
simu ya mkononi kwenye harusini



Timbwili hilo lililoshuhudiwa na mpiga chabo wetu lilimkuta mwanamama huyo ndani ya Ukumbi wa Deluxe Sinza. Baada ya kusingiziwa mmama huyu
aliamua chojoa nguo zote mbele ya walizi ili ili kuthibitisha kuwa hakuichukua.

Chapisha Maoni

 
Top