Taifa Stars imejiweka pazuri katika Kundi L, baada ya kulazimisha suluhu ugenini dhidi ya Uganda iliyocheza mbele ya maelfu ya mashabiki...
Uefa yakubali kubadili kanuni ya faida ya 'goli la ugenini
Makocha wa timu kubwa barani Ulaya wamekitaka chama cha mpira barani humo (Uefa) kufanya mabadiliko ya kanuni ya faida ya magoli ya ugen...
ULIMWENGU, SAMATTA, WATUA DAR, KESSY, MANDAWA NAO WAUNGANA KAMBINI STARS
Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta anayecheza katika klabu ya KRC Genk ya Belgium na mshambuliaji wa Al H...
Raheem Sterling: Mchezaji wa England atakosa mechi dhidi ya Uhispania na Uswizi
Mchezaji wa kiungo cha mbele wa Manchester City Raheem Sterling amejitoa katika kikosi cha England katika mechi dhidi ya Uhispania na Us...
RONALDO ANALIPWA ZAIDI SERIE A
Cristiano Ronaldo ndiye mchezaji anayelipwa zaidi Serie A na anaingiza mara tatu zaidi ya mchezaji anayemfuatia kwa kulipwa kwenye ligi ...
Makundi ya Europa League kazi ipo kwa vigogo Egland
Makundi ya Europa League baada ya kupangwa Mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta atakuwa na kazi nyepesi katika Europa League baada ...
Kocha Emmanuel Amunike atimaye sasa amekutana na wachezaji wa Simba
KOCHA wa timu ya Tanzania, Taifa Stars, M-Cameroon, Emmanuel Amunike, amekutana na wachezaji Simba aliowaondoa kwenye kikosi chake baada...
Luka Modric ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa kiume wa UEFA
KIUNGO wa kimataifa wa Croatia, Luka Modric ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa kiume wa Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA), baada ya kuion...
RONALDO USO KWA USO NA MAN UNITED
Cristiano Ronaldo atarejea Old Trafford baada ya Manchester United kupangwa Kundi H pamoja na mabingwa wa Italia, Juventus. Tottenham in...
MOURINHO: ASEMA KUWA YEYE NI BORA ENGLAND
MANCHESTER United wamekuwa kwenye hali mbaya baada ya kupoteza mchezo wa pili mfululizo kwenye Ligi Kuu England. Kocha Jose Mourinho, ju...
WACHEZAJI SITA SIMBA WAONDOLEWA TAIFA STARS
Kocha mkuu wa Timu ya Tanzania, Taifa Stars, Emmanuel Amunike, amewaondoa wachezaji 6 wa Simba kwa kosa la kuchelewa kuripoti kambini is...
Makamu rais wa zamani wa FIFA ahukumiwa kifungo cha miaka tisa gerezani
Makamu Rais wa zamani wa FIFA amehukumiwa kifungo cha miaka tisa gerezani nchini Marekani ikiwa ni matokeo ya uchunguzi wa ruhswa iliyof...
Yanga Sc yachapwa 1-0 na Rayon Sports
YANGA SC imekamilisha mechi zake za Kundi D kwa kuchapwa 1-0 na wenyeji, Rayon Sport, bao pekee la mshambuliaji Mrundi, Bonfilscaleb Bim...
MBASHA MATUTU AWAJIBU TFF
Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji (TFF) na Msimamizi wa Kituo cha Michezo Shinyanga, Mbasha Matutu, ameibuka na kulijibu Shirikisho...