ya kuolewa,,akutajie sifa za mume
ampendae,sifa ya "awe mpole" itakuwa
ktk orodha ya mwanzo kabisa.Ktk utafiti
binafsi sifa hii imetajwa na wasichana 74bikiwa ya kwanza,,wasichana 113 ikiwa ya
2.Lakini kwa wanawake walio ktk
ndoa,,wanawake 20 walisema wanapenda
mume mpole ikiwa sifa ya 1 na 42
waliobaki waliitaja ikiwa ya 2
Huo ni utafiti binafsi ambao ulitaka kujua
tu UPOLE WA MWANAUME una nafasi
gani kwa mwanamke
Lakini kwa nini wanawake au mabinti
hupenda mwanaume mpole? Kwa nini
mkorofi hatajwi kabisa? Je ni kweli ni
watu wanaohitaji huruma kiasi hicho?
Mtaalamu wa masuala wa mahusiano wa kimarekani Baruck Miller aliyetafiti
mahusiano kwa miaka zaidi ya 20,,anasema "... Mwanamke anampenda
mwanaume mpole ili AJITAWALE KTK
MAHUSIANO..."
Siku zote,mwanamke anapenda awe huru kwenda apendapo au kupewa atakacho.
Hivyo anapokuwa mbele ya mwanaume
mpole hana wasi,,wala hana tabu ya
kutimiziwa shida yake.
Akikutana na mwanaume mpole sana
kiasi cha kukaribia ujinga basi
atamuendesha mume/mpenzi kama
rimoti control.
Jambo wanalosahau wanawake ni
kuwa,,upole wa wanaume wengi
wanautafsiri kama ujinga,uzezeta au
kuliona kundi hili la kuchuna
wapendavyo.
Laiti wangekumbuka kuwa mwanaume
mpole ni kama volcano tuli,,ikilipuka
imelipuka basi sifa ya upole ingekuwa ya
mwisho.
Chapisha Maoni