0
Taifa Stars Yailazimisha sare ya 0-0 Uganda Taifa Stars Yailazimisha sare ya 0-0 Uganda

Taifa Stars imejiweka pazuri katika Kundi L, baada ya kulazimisha suluhu ugenini dhidi ya Uganda iliyocheza mbele ya maelfu ya mashabiki...

Soma zaidi »

0
Uefa yakubali kubadili kanuni ya faida ya 'goli la ugenini Uefa yakubali kubadili kanuni ya faida ya 'goli la ugenini

Makocha wa timu kubwa barani Ulaya wamekitaka chama cha mpira barani humo (Uefa) kufanya mabadiliko ya kanuni ya faida ya magoli ya ugen...

Soma zaidi »

0
ULIMWENGU, SAMATTA, WATUA DAR, KESSY, MANDAWA NAO WAUNGANA KAMBINI STARS ULIMWENGU, SAMATTA, WATUA DAR, KESSY, MANDAWA NAO WAUNGANA KAMBINI STARS

Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta anayecheza katika klabu ya KRC Genk ya Belgium na mshambuliaji wa Al H...

Soma zaidi »

0
Raheem Sterling: Mchezaji wa England atakosa mechi dhidi ya Uhispania na Uswizi Raheem Sterling: Mchezaji wa England atakosa mechi dhidi ya Uhispania na Uswizi

Mchezaji wa kiungo cha mbele wa Manchester City Raheem Sterling amejitoa katika kikosi cha England katika mechi dhidi ya Uhispania na Us...

Soma zaidi »

0
RONALDO ANALIPWA ZAIDI SERIE A RONALDO ANALIPWA ZAIDI SERIE A

Cristiano Ronaldo ndiye mchezaji anayelipwa zaidi Serie A na anaingiza mara tatu zaidi ya mchezaji anayemfuatia kwa kulipwa kwenye ligi ...

Soma zaidi »

0
Makundi ya Europa League kazi ipo kwa vigogo Egland Makundi ya Europa League kazi ipo kwa vigogo Egland

Makundi ya Europa League  baada ya kupangwa Mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta atakuwa na kazi nyepesi katika Europa League baada ...

Soma zaidi »

0
Kocha Emmanuel Amunike atimaye sasa amekutana na wachezaji wa Simba Kocha Emmanuel Amunike atimaye sasa amekutana na wachezaji wa Simba

KOCHA wa timu ya Tanzania, Taifa Stars, M-Cameroon, Emmanuel Amunike, amekutana na wachezaji Simba aliowaondoa kwenye kikosi chake baada...

Soma zaidi »

0
Luka Modric ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa kiume wa UEFA Luka Modric ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa kiume wa UEFA

KIUNGO wa kimataifa wa Croatia, Luka Modric ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa kiume wa Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA), baada ya kuion...

Soma zaidi »

0
RONALDO USO KWA USO NA MAN UNITED RONALDO USO KWA USO NA MAN UNITED

Cristiano Ronaldo atarejea Old Trafford baada ya Manchester United kupangwa Kundi H pamoja na mabingwa wa Italia, Juventus. Tottenham in...

Soma zaidi »

0
MOURINHO: ASEMA KUWA YEYE NI BORA ENGLAND MOURINHO: ASEMA KUWA YEYE NI BORA ENGLAND

MANCHESTER United wamekuwa kwenye hali mbaya baada ya kupoteza mchezo wa pili mfululizo kwenye Ligi Kuu England. Kocha Jose Mourinho, ju...

Soma zaidi »

0
WACHEZAJI SITA SIMBA WAONDOLEWA TAIFA STARS WACHEZAJI SITA SIMBA WAONDOLEWA TAIFA STARS

Kocha mkuu wa Timu ya Tanzania, Taifa Stars, Emmanuel Amunike, amewaondoa wachezaji 6 wa Simba kwa kosa la kuchelewa kuripoti kambini is...

Soma zaidi »

0
Makamu rais wa zamani wa FIFA ahukumiwa kifungo cha miaka tisa gerezani Makamu rais wa zamani wa FIFA ahukumiwa kifungo cha miaka tisa gerezani

Makamu Rais wa zamani wa FIFA amehukumiwa kifungo cha miaka tisa gerezani nchini Marekani ikiwa ni matokeo ya uchunguzi wa ruhswa iliyof...

Soma zaidi »

1
Yanga Sc yachapwa 1-0 na Rayon Sports Yanga Sc yachapwa 1-0 na Rayon Sports

YANGA SC imekamilisha mechi zake za Kundi D kwa kuchapwa 1-0 na wenyeji, Rayon Sport, bao pekee la mshambuliaji Mrundi, Bonfilscaleb Bim...

Soma zaidi »

0
MBASHA MATUTU AWAJIBU TFF MBASHA MATUTU AWAJIBU TFF

Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji (TFF) na Msimamizi wa Kituo cha Michezo Shinyanga, Mbasha Matutu, ameibuka na kulijibu Shirikisho...

Soma zaidi »
 
 
Top