0
Taifa Stars Yailazimisha sare ya 0-0 Uganda Taifa Stars Yailazimisha sare ya 0-0 Uganda

Taifa Stars imejiweka pazuri katika Kundi L, baada ya kulazimisha suluhu ugenini dhidi ya Uganda iliyocheza mbele ya maelfu ya mashabiki...

Soma zaidi »

1
Yanga Sc yachapwa 1-0 na Rayon Sports Yanga Sc yachapwa 1-0 na Rayon Sports

YANGA SC imekamilisha mechi zake za Kundi D kwa kuchapwa 1-0 na wenyeji, Rayon Sport, bao pekee la mshambuliaji Mrundi, Bonfilscaleb Bim...

Soma zaidi »

0
YANGA YACHAPWA NA GOR MAHIA MABAO 3-2 YANGA YACHAPWA NA GOR MAHIA MABAO 3-2

YANGA wameendeleza mwendo ambao siyo mzuri katika michuano ya kimataifa baada ya kuruhusu kupata kichapo kutoka kwa Gor Mahia cha mabao ...

Soma zaidi »

0
KILIMANJARO QUEENS MABINGWA TENA KOMBE LA CHALLENGE KILIMANJARO QUEENS MABINGWA TENA KOMBE LA CHALLENGE

Kilimanjaro Queens imefanikiwa kutetea Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhid...

Soma zaidi »

0
Tanzania waondolewa kwa bao la Ugenini Tanzania waondolewa kwa bao la Ugenini

Timu ya Taifa ya Soka ya Tanzania Taifa Stars wameondoshwa katika Michuano ya Kufuzu kwa fainali za Mataifa afrika kwa Wachezaji wanaoch...

Soma zaidi »

0
Amavubi wameanza safari kuwafuata Tanzania. Amavubi wameanza safari kuwafuata Tanzania.

Kikosi cha wachezaji 18 na Viongozi 9 wa Timu ya Taifa ya Soka ya Rwanda 'Amavubi' kimeanza safari ya kuelekea Jijini Mwanza kuc...

Soma zaidi »

0
Taifa Stars waifunga Lesotho kushika nafasi ya tatu Cosafa Taifa Stars waifunga Lesotho kushika nafasi ya tatu Cosafa

Shujaa wa Taifa Stars leo amekuwa golikipa Said Mohammed Mduda aliyepangua penalti ya Nahodha wa Lesotho Tanzania imefanikiwa kushika nafa...

Soma zaidi »

0
Taifa stars yachapwa 4-2 sasa Kutafuta Nafasi ya Tatu Taifa stars yachapwa 4-2 sasa Kutafuta Nafasi ya Tatu

Timu ya Taifa ya Soka ya Tanzania 'Taifa Stars' wamefungwa katika mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Ukanda wa Afrika ya Kusini ...

Soma zaidi »

0
Kocha mkuu wa timu ya Tanzania Taifa stars aapa kuwashikisha adabu Zambia Kocha mkuu wa timu ya Tanzania Taifa stars aapa kuwashikisha adabu Zambia

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Soka ya Tanzania 'Taifa Stars' Salumu Shabani Mayanga amejiwekea Imani kubwa timu yake itaibuka kided...

Soma zaidi »

0
Zambia yaanika mipango kuikabili Stars Cosafa Zambia yaanika mipango kuikabili Stars Cosafa

Timu ya Zambia inashuka dimbani kesho Jumatano kukabiliana na Taifa Stars kwenye mchezo wa nusu fainali unaotarajiwa kuwa na ushindani mkali...

Soma zaidi »

0
Kocha Stars ajivunia kikosi chake na yupo tayari kuivaa Bafana Bafana Kocha Stars ajivunia kikosi chake na yupo tayari kuivaa Bafana Bafana

Kocha wa timu ya Taifa Stars, Salum Mayanga amesema kikosi chake kimestahili kutinga hatua ya robo fainali ya kombe la Cosafa nchini Afrika ...

Soma zaidi »

0
Tanzania yafuzu Robo Fainali, kukutana na Afrika Kusini Tanzania yafuzu Robo Fainali, kukutana na Afrika Kusini

Timu ya Soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imefanikiwa kufuzu hatua ya Robo fainali ya Kombe la COSAFA baada ya kutoka sare ya Bao 1-1 ...

Soma zaidi »

0
TAIFA STARS YATOKA SARE 0-0 NA ANGOLA COSAFA TAIFA STARS YATOKA SARE 0-0 NA ANGOLA COSAFA

KIUNGO wa Simba, Muzamil Yassin Said amekuwa mchezaji Bora wa mechi ya pili ya Kundi A, Kombe la Mataifa ya Kusini mwa Afrika, COSAFA Ca...

Soma zaidi »

0
Rwanda yajipanga mapema kuikabili Taifa Stars Rwanda yajipanga mapema kuikabili Taifa Stars

 Kikosi cha Rwanda 'Amavubi' kimeanza maandalizi ya mechi yake dhidi ya Tanzania ya kusaka kufuzu kwa fainali za Mataifa ya Afri...

Soma zaidi »

0
Musonye: Kuna mataifa yanahujumu Cecafa Musonye: Kuna mataifa yanahujumu Cecafa

Katibu wa shirikisho la kandanda la Afrika Mashariki na Kati, Nicholas Musonye, amesema kuna mgawanyiko mkubwa kwenye Cecafa ambao huend...

Soma zaidi »

0
Kocha Mtanzania kuiongoza AFC Leopards ya Kenya katika Kombe la SportPesa Kocha Mtanzania kuiongoza AFC Leopards ya Kenya katika Kombe la SportPesa

Kocha wa zamani wa Azam, Stewart Hall amebwaga manyanga katika klabu ya AFC Leopards ya Kenya baada ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya...

Soma zaidi »

0
Kocha wa Serengeti boys Bakari Shime
akiri kujifunza mengi mchezo wa Mali Kocha wa Serengeti boys Bakari Shime akiri kujifunza mengi mchezo wa Mali

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Vijana Chini ya Umri wa Miaka 17 'Serengeti Boys' Bakari Shime amesema kuwa walishindwa kupata ushi...

Soma zaidi »

0
Katika michuano ya AFCON U17: Watanzania Kuamua Hatma ya Gabon Katika michuano ya AFCON U17: Watanzania Kuamua Hatma ya Gabon

Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF limeteua Watanzania kuwa maofisa waandamizi watatu kusimamia mchezo wa kundi A kati ya Ghana na Gabon...

Soma zaidi »

0
KILA LA HERI SERENGETI BOYS DHIDI YA MALI HII LEO KILA LA HERI SERENGETI BOYS DHIDI YA MALI HII LEO

TIMU ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys inatupa kete yake ya kwanza katika michuano ya Mataifa ya Afrika, itakap...

Soma zaidi »

0
Michuano ya AFCON U17
yafunguliwa Rasmi Nchini Gabon Michuano ya AFCON U17 yafunguliwa Rasmi Nchini Gabon

Michuano ya 12 ya Mataifa Afrika kwa vijana chini ya Umri wa Miaka 17, inayosimamiwa na Shirikisho la soka Afrika CAF, imefunguliwa rasmi ...

Soma zaidi »
 
 
Top