0
Makundi ya Europa League kazi ipo kwa vigogo Egland Makundi ya Europa League kazi ipo kwa vigogo Egland

Makundi ya Europa League  baada ya kupangwa Mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta atakuwa na kazi nyepesi katika Europa League baada ...

Soma zaidi »

0
Luka Modric ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa kiume wa UEFA Luka Modric ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa kiume wa UEFA

KIUNGO wa kimataifa wa Croatia, Luka Modric ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa kiume wa Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA), baada ya kuion...

Soma zaidi »

0
RONALDO USO KWA USO NA MAN UNITED RONALDO USO KWA USO NA MAN UNITED

Cristiano Ronaldo atarejea Old Trafford baada ya Manchester United kupangwa Kundi H pamoja na mabingwa wa Italia, Juventus. Tottenham in...

Soma zaidi »

0
 Tottenham Spurs waichapa 3-0 Manchester United Old Trafford na kumuongezea shinikizo Jose Mourinho Tottenham Spurs waichapa 3-0 Manchester United Old Trafford na kumuongezea shinikizo Jose Mourinho

Tottenham waliendeleza mwanzo wao mwema wa Ligi Kuu England msimu huu kwa kuwafunga Manchester United mabao matatu bila jibu na kumuonge...

Soma zaidi »

0
Arsenal yaichapa West Ham 3-1 Arsenal yaichapa West Ham 3-1

Arsenal imepata ushindi wake wa kwanza msimu huu baada ya kuichapa West Ham kwa mabao 3-1, huku Everton ikilazimishwa sare 2-2 AFC Bourn...

Soma zaidi »

0
MAN CITY YATOKA SARE YA 1-1 NA WOLVES MAN CITY YATOKA SARE YA 1-1 NA WOLVES

Manchester City imebanwa mbavu na Wolves katika mchezo wa Ligi Kuu England kwa matokeo ya sare ya 1-1. Wolves walikuwa wa kwanza kujipat...

Soma zaidi »

0
UEFA Super Cup: Atletico Madrid waichapa Real Madrid 4-2 UEFA Super Cup: Atletico Madrid waichapa Real Madrid 4-2

Real Madrid walianza maisha bila mshambuliaji wao nyota wa zamani Cristiano Ronaldo na meneja Zinedine Zidane kwa kushindwa 4-2 katika d...

Soma zaidi »

0
Cristiano Ronaldo  aifungia bao timu yake mpya, Juventus Cristiano Ronaldo aifungia bao timu yake mpya, Juventus

Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akiifungia timu yake mpya, Juventus bao la kwanza leo dakika ya nane katika mchezo wa kirafiki dhidi ya t...

Soma zaidi »

0
Barcelona yatwaa ubingwa wa Super Cup Barcelona yatwaa ubingwa wa Super Cup

Klabu ya Barcelona, imetwaa ubingwa wa kombe la Super Cup,kwa kuifunga Sevilla kwa magoli 2-1 katika mchezo uliochezwa nchini Morroco. S...

Soma zaidi »

0
Liverpool yaichapa West Ham 4-0 Liverpool yaichapa West Ham 4-0

England. Mabao ya Mohamed Salah, Sadio Mane, Daniel Sturridge yameipa ushindi mnono klabu ya Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu England...

Soma zaidi »

0
Chelsea yaichapa 3-0 Huddersfield ligi kuu England leo Chelsea yaichapa 3-0 Huddersfield ligi kuu England leo

MABAO ya N'Golo Kante dakika ya 34, Jorginho kwa penalti dakika ya 45 na Pedro dakika ya 80 yameipa Chelsea ushindi wa 3-0 dhidi ya ...

Soma zaidi »

0
SPURS YAICHAPA 2-1 NEWCASTLE SPURS YAICHAPA 2-1 NEWCASTLE

England. Mabao yaliyofungwa na beki wa Tottenham, Jan Vertonghen na Dele Alli yalitosha kuwanyamazisha Newcastle United katika mechi ya ...

Soma zaidi »

0
Liverpool yaichapa Torino 3-1 Liverpool yaichapa Torino 3-1

Klabu ya Liverpool, imemaliza mechi za kujipima nguvu ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya msimu mpya kwa ushindi wa kishindo wa mabao 3-1 d...

Soma zaidi »

0
MAN CITY YAICHAPA CHELSEA YATWAA NGAO YA JAMII MAN CITY YAICHAPA CHELSEA YATWAA NGAO YA JAMII

STRAIKA Sergio Aguero amefanikiwa kufunga mabao mawili ambayo kwake ni ya 200 na 201 akiwa ndani ya kikosi cha Manchester City, ambapo y...

Soma zaidi »

0
ARSENAL IMESHINDA KWA PENALTI 6-5 DHIDI YA CHELSEA ARSENAL IMESHINDA KWA PENALTI 6-5 DHIDI YA CHELSEA

Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifugia Arsenal bao la kusawazisha dakika ya 90 ikitoa sare ya 1-1 dhidi Chelsea katika mchez...

Soma zaidi »

0
Simba yatoka sare 1-1 dhidi ya Mouloudia mechi imevunjika dakika 65 Simba yatoka sare 1-1 dhidi ya Mouloudia mechi imevunjika dakika 65

Timu ya Simba imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya wapinzani wao Mouloudia mechi ambayo imevunjika dakika ya 65 kutokana na mvua inayonyesha...

Soma zaidi »

0
SPURS YAICHAPA AC MILAN 1-0 SPURS YAICHAPA AC MILAN 1-0

Mfungaji wa bao pekee la Tottenham Hotspur, Georges-Kevin N'Koudou (kushoto) dakika ya 47 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya AC Milan al...

Soma zaidi »

0
Man U  yaichapa 2-1 Real Madrid mchezo wa kirafiki Man U yaichapa 2-1 Real Madrid mchezo wa kirafiki

Mshambuliaji wa Manchester United, Alexis Sanchez akipongezwa na mchezaji mwenzake, Matteo Darmian baada ya kufunga bao la kwanza dakika...

Soma zaidi »

0
Msuva kaivunja rekodi Samatta Msuva kaivunja rekodi Samatta

Mshambuliaji wa kimataifa Tanzania, Saimon Msuva anahitaji bao moja kuivunja rekodi ya Mbwana Samatta aliyoweka 2012 akiwa na TP Mazembe...

Soma zaidi »

0
Arsenal yaichapa PSG Goal 5-1 nchini Singapore Arsenal yaichapa PSG Goal 5-1 nchini Singapore

Nguvu mpya Alexandre Lacazette alifunga magoli mawili na kuisaidia Arsenal kuicharaza Paris St-Germain 5-1 nchini Singapore. Lacazette a...

Soma zaidi »
 
 
Top