Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akiifungia timu yake mpya, Juventus bao la kwanza leo dakika ya nane katika mchezo wa kirafiki dhidi ya timu yao ya vijana chini ya umri wa miaka 19 kabla ya kusababisha bao la kujifunga kwa wadogo zao hao katika ushindi wa 5-0. Mabao mengine yalifungwa na Paulo Dybala mawili na Claudio Marchisio. Mreno huyo mwenye umri wa miaka 33 alikuwa anaichezea kwa mara ya kwanza timu hiyo iliyomnunua kutoka Real Madrid kwa dau la Pauni Milioni 100 @ Dar es Salaam, Tanzania
Related Posts
Makundi ya Europa League kazi ipo kwa vigogo Egland
Makundi ya Europa League baada ya kupangwa Mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta atakuwa[...]
Aug 31, 2018Luka Modric ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa kiume wa UEFA
KIUNGO wa kimataifa wa Croatia, Luka Modric ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa kiume wa Shiriki[...]
Aug 30, 2018RONALDO USO KWA USO NA MAN UNITED
Cristiano Ronaldo atarejea Old Trafford baada ya Manchester United kupangwa Kundi H pamoja na ma[...]
Aug 30, 2018Tottenham Spurs waichapa 3-0 Manchester United Old Trafford na kumuongezea shinikizo Jose Mourinho
Tottenham waliendeleza mwanzo wao mwema wa Ligi Kuu England msimu huu kwa kuwafunga Manchester U[...]
Aug 27, 2018Arsenal yaichapa West Ham 3-1
Arsenal imepata ushindi wake wa kwanza msimu huu baada ya kuichapa West Ham kwa mabao 3-1, huku [...]
Aug 25, 2018MAN CITY YATOKA SARE YA 1-1 NA WOLVES
Manchester City imebanwa mbavu na Wolves katika mchezo wa Ligi Kuu England kwa matokeo ya sare y[...]
Aug 25, 2018
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.