0
ULIMWENGU, SAMATTA, WATUA DAR, KESSY, MANDAWA NAO WAUNGANA KAMBINI STARS ULIMWENGU, SAMATTA, WATUA DAR, KESSY, MANDAWA NAO WAUNGANA KAMBINI STARS

Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta anayecheza katika klabu ya KRC Genk ya Belgium na mshambuliaji wa Al H...

Soma zaidi »

0
WACHEZAJI SITA SIMBA WAONDOLEWA TAIFA STARS WACHEZAJI SITA SIMBA WAONDOLEWA TAIFA STARS

Kocha mkuu wa Timu ya Tanzania, Taifa Stars, Emmanuel Amunike, amewaondoa wachezaji 6 wa Simba kwa kosa la kuchelewa kuripoti kambini is...

Soma zaidi »

0
MBASHA MATUTU AWAJIBU TFF MBASHA MATUTU AWAJIBU TFF

Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji (TFF) na Msimamizi wa Kituo cha Michezo Shinyanga, Mbasha Matutu, ameibuka na kulijibu Shirikisho...

Soma zaidi »

0
Simba yaitandika Mbeya City 2-0 Katika Uwanja wa Taifa Simba yaitandika Mbeya City 2-0 Katika Uwanja wa Taifa

. Mshambuliaji Meddie Kagere ameendelea kuthibisha ubora wake baada ya kufunga mabao mawili Simba ikichapa Mbeya City 2-0 kwenye Uwanja ...

Soma zaidi »

0
Azam Fc yaichakaza Mbeya City 2-0 Azam Fc yaichakaza Mbeya City 2-0

TIMU ya Azam FC imeanza vyema Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mbeya City usiku wa leo Uwanja wa Azam Co...

Soma zaidi »

0
Simba  yaichapa Prisons 1-0 Uwanja wa Taifa. Simba yaichapa Prisons 1-0 Uwanja wa Taifa.

Pamoja na kupewa nafasi kubwa kuibuka na ushindi mnono kwenye mechi yake dhidi ya Tanzania Prisons, Simba ililazimika kufanya kazi ya zi...

Soma zaidi »

0
Kocha wa Taifa stars  Amunike aita nyota 9 wa kulipwa Kocha wa Taifa stars Amunike aita nyota 9 wa kulipwa

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike ameita wachezaji kikosi chake cha wachezaji 25 tisa wakiwa wanaocheza soka la kulipwa kujian...

Soma zaidi »

0
SIMBA SC WASHINDI WA NGAO YA JAMII TENA, WAICHAPA MTIBWA SUGAR 2-1 SIMBA SC WASHINDI WA NGAO YA JAMII TENA, WAICHAPA MTIBWA SUGAR 2-1

SIMBA SC  wametwaa Ngao ya Jamii kwa mara ya pili mfululizo baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa CCM Kirumba mj...

Soma zaidi »

0
Serengeti Boys noma yaichapa 5-0  Sudan Serengeti Boys noma yaichapa 5-0 Sudan

TIMU ya Taifa chini ya miaka 17 'Serengeti Boys' haijawaangusha umati wa mashabiki waliojitokeza kuangalia mechi yao dhidi ya Su...

Soma zaidi »

0
Yanga yaichapa Mawenzi Market 1-0 Yanga yaichapa Mawenzi Market 1-0

Yanga imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mawenzi Market FC kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Jamhuri Morogoro leo Juma...

Soma zaidi »

0
Simba yatoka sare ya 1-1 na Asante kotoko katika mchezo wa kirafiki wa Simba day Simba yatoka sare ya 1-1 na Asante kotoko katika mchezo wa kirafiki wa Simba day

Timu ya Simba imetosa sare ya bao 1-1 dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana katika mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini...

Soma zaidi »

0
Yanga yavunja mkataba wa kipa wake Youthe Rostand Yanga yavunja mkataba wa kipa wake Youthe Rostand

Kipa wa Youthe Rostand amekubaliana na Yanga kuondoka kikosini akiwa na uhakika wa kuvuna Sh 25 milioni, lakini katika kumalizia kikao h...

Soma zaidi »

0
Dirisha la usajili likiwa tayari limefungwa kipi kipya ndani ya vikosi vya ligi kuu Tanzania bara Dirisha la usajili likiwa tayari limefungwa kipi kipya ndani ya vikosi vya ligi kuu Tanzania bara

DIRISHA la usajili limefungwa juzi Alhamisi saa sita usiku huku timu zikifanya usajili kulingana na mahitaji yao, usajili ambao zinaamin...

Soma zaidi »

0
Rais Karia ataja faida za wachezaji wa kigeni Rais Karia ataja faida za wachezaji wa kigeni

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia ametetea uamuzi wake ongezeko idadi ya wachezaji 10 wakigeni kwa klabu za Ligi ...

Soma zaidi »

0
Omary Kaaya Mrithi wa Mkwasa Yanga Omary Kaaya Mrithi wa Mkwasa Yanga

Klabu ya Yanga imeanza kuziba mapengo ya watendaji wake kwa kumteua Omary Kaaya kuwa Kaimu Katibu Mkuu akichukua nafasi ya Charles Bonif...

Soma zaidi »

0
Nyamlani atangaza kujitoa kuwania urais TFF Nyamlani atangaza kujitoa kuwania urais TFF

Makamu wa Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Athumani Nyamlani leo Jumapili ametangaza kujitoa kwenye kinyang’anyiro c...

Soma zaidi »

0
TFF yajikanyaga kesi ya kimkataba ya Mbaraka TFF yajikanyaga kesi ya kimkataba ya Mbaraka

Shirikisho la Soka Nchini TFF, limevunja Ukimya kuhusu mikataba miwili ya Mshambuliaji wa Kagera Sugar Mbaraka Yusuph Abeidi na kusema k...

Soma zaidi »

0
NYAMLANI AINGIA KUGOMBEA URAIS TFF TENA NYAMLANI AINGIA KUGOMBEA URAIS TFF TENA

Aliyewahi kuwa Makamu Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Athumani Nyamlani, ameamua kugombea tena urais wa shirikisho hilo. Taar...

Soma zaidi »

0
Mbunge Kadutu, Nyenzi wajitosa kuwania ujumbe wa Kamati ya Utendaji wa TFF Mbunge Kadutu, Nyenzi wajitosa kuwania ujumbe wa Kamati ya Utendaji wa TFF

Mbunge wa Jimbo la Ulyankulu, Peter Kadutu, Ayoub Nyenzi amechukua fomu za kuwania nafasi ya ujumbe wa kamati ya utendaji ya Shirikisho ...

Soma zaidi »

0
Mbunge Chumi amkosoa rais wa TFF Jamal Malinzi Mbunge Chumi amkosoa rais wa TFF Jamal Malinzi

Mbunge wa Jimbo Mafinga Mjini, Cosatu Chumi amesema rais wa sasa wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameshindwa kusaidia...

Soma zaidi »
 
 
Top