0
RONALDO ANALIPWA ZAIDI SERIE A RONALDO ANALIPWA ZAIDI SERIE A

Cristiano Ronaldo ndiye mchezaji anayelipwa zaidi Serie A na anaingiza mara tatu zaidi ya mchezaji anayemfuatia kwa kulipwa kwenye ligi ...

Soma zaidi »

0
Usajili wote uliofanywa na klabu za England Usajili wote uliofanywa na klabu za England

Manchester United imeshindwa kutimiza ndoto ya Mourinho ya kusajili beki ili kujenga kikosi chake baada ya Paris Saint-Germain kuingilia...

Soma zaidi »

0
Chelsea wamnunua kipa wa Athletic Bilbao kwa uhamisho uliovunja rekodi ya dunia Chelsea wamnunua kipa wa Athletic Bilbao kwa uhamisho uliovunja rekodi ya dunia

Chelsea wamevunja rekodi ya dunia katika ununuzi wa mlinda lango kwa kumnunua kipa Kepa Arrizabalaga kutoka klabu ya Athletic Bilbao ya ...

Soma zaidi »

0
HIGUAIN ATUA AC MILAN KWA MKOPO HIGUAIN ATUA AC MILAN KWA MKOPO

Gonzalo Higuain akiwa amepozi na jezi ya AC Milan kuelekea kufanyiwa vipimo vya afya kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wake wa mkopo wa ...

Soma zaidi »

0
Roger Marti wa Levante amemkaribisha nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta kwenye klabu hiyo Roger Marti wa Levante amemkaribisha nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta kwenye klabu hiyo

MSHAMBULIAJI wa Levante UD, Roger Marti amemkaribisha nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta kwenye klabu hiyo itakayoshiriki msimu ujao...

Soma zaidi »

0
Crystal Palace wamsajili mchezaji wa West Ham Cheikhou Kouyate Crystal Palace wamsajili mchezaji wa West Ham Cheikhou Kouyate

Crystal Palace imemsajili mchezaji wa kiungo cha kati Cheikhou Kouyate kutoka West Ham katika mktaba wa miaka minne kwa kitita kisichoju...

Soma zaidi »

0
Usajili unao tarajiwa kufanywa Usajili unao tarajiwa kufanywa

LIGI Kuu England imebakiza siku 13 tu kabla ya kuanza. Kila timu inajaribu kuunda kikosi chake imara kabisa kuhakikisha msimu ujao unaku...

Soma zaidi »

0
Nyota wapya hadi sasa vikosi ligi kuu England msimu ujao Nyota wapya hadi sasa vikosi ligi kuu England msimu ujao

ENGLAND . MAMBO ya usajili ndio kama ulivyosikia. Kwingine wanacheka, lakini kwa wengine ni choka mbaya. Huko kwenye Ligi Kuu England pr...

Soma zaidi »

0
Malcom akamilisha uhamisho kutoka Bordeaux kuelekea Barcelona Malcom akamilisha uhamisho kutoka Bordeaux kuelekea Barcelona

Winga wa Brazil Malcom amekamilisha uhamisho wa kitita cha £36.5m kwa kujiunga na Barcelona kutoka Bordeaux. Mkataba huo ulitangazwa mar...

Soma zaidi »

0
Hazard atoa masharti makubwa kwa Perez kuhusu kumsajili Hazard atoa masharti makubwa kwa Perez kuhusu kumsajili

Eden Hazard amemwambia Rais wa Real Madrid, Florentino Perez afahamu tu hawezi kuiacha Chelsea ikiwa kwenye hali ya sintofahamu. Hazard ...

Soma zaidi »

0
Liverpool Yamnasa Oxlade-Chamberlain Kutoka Arsenal Kwa Paundi Milioni 40 Liverpool Yamnasa Oxlade-Chamberlain Kutoka Arsenal Kwa Paundi Milioni 40

Liverpool imekamilisha usajili wa kiungo Alex Oxlade-Chamberlain kutoka Arsenal kwa dau la paundi milioni 40 Chamberlain mwenye umri wa mia...

Soma zaidi »

0
NEYMAR SASA RASMI ATUA PSG NEYMAR SASA RASMI ATUA PSG

Neymar sasa rasmi ni mchezaji wa Paris Saint-Germain kwa uhamisho wake wa pauni million 198 ambayo ni rekodi mpya ya usajili duniani. Th...

Soma zaidi »

0
Tayari Chicharito atua West Ham Tayari Chicharito atua West Ham

Mshambuliaji Javier Hernandez amekamilisha uhamisho wake wa pauni16milioni kutoka Bayer Leverkusen kwenda West Ham na kuwa mchezaji ghali za...

Soma zaidi »

0
Nyota Simba, Yanga watua Mtibwa Nyota Simba, Yanga watua Mtibwa

ACHANA na usajili wa kipa Shaaban Kado, Mtibwa Sugar, imeonyesha msimu huu haina mzaha baada ya kunyakua nyota wa zamani wa Simba na Yanga, ...

Soma zaidi »

0
Kipa wa Arsenal atua Juventus kurithi mikoba ya Buffon Kipa wa Arsenal atua Juventus kurithi mikoba ya Buffon

Kipa wa Arsenal, Wojciech Szczesny amesajiliwa Juventus kwa dau la Pauni 10 milioni baada ya kutumika kwa miaka miwili katika klabu ya R...

Soma zaidi »

0
Kipa wa Hull City asaini Leicester miaka mitatu Kipa wa Hull City asaini Leicester miaka mitatu

Kipa wa Hull City, Eldin Jakupovic amesajiliwa na Leicester City kwa mkataba wa miaka miatatu huku gharama yake ya usajili ikifichwa. Mc...

Soma zaidi »

0
Simba yasajili wawili kwa mpigo Simba yasajili wawili kwa mpigo

WASHINDI wa Kombe la FA, Simba wamefanya usajili wa nyota wawili kwa mpigo leo Jumatano kwa kuwasainisha kipa namba mbili wa Taifa Stars...

Soma zaidi »

0
Kamusoko, kipa Serengeti Boys wasaini Yanga Kamusoko, kipa Serengeti Boys wasaini Yanga

Klabu ya Yanga imemsainisha mkataba mpya wa miaka miwili kiungo Mzimbabwe, Thaban Kamusoko huku pia ikimsajili kipa wa Serengeti Boys, R...

Soma zaidi »

0
Mbeya City yasajili kifaa kingine Bakari Masoud miaka miwili Mbeya City yasajili kifaa kingine Bakari Masoud miaka miwili

MBEYA City leo Jumatatu imemsajili kiungo Bakari Masoud kwa mkataba wa miaka miwili na ameingia kambini moja kwa moja. Bakari ambaye ni ...

Soma zaidi »

0
Tottenham yatangaza kumuachia Federico Fazio klabu ya Roma Tottenham yatangaza kumuachia Federico Fazio klabu ya Roma

England. Klabu ya Tottenham imethibitisha kuachana na beki wake, Federico Fazio (39), ambaye alitolewa kwa mkopo msimu wote ulioisha kwa...

Soma zaidi »
 
 
Top