Kipa wa Hull City, Eldin Jakupovic amesajiliwa na Leicester City kwa mkataba wa miaka miatatu huku gharama yake ya usajili ikifichwa.
Mchezaji huyo mwenye miaka 30 alijiunga na Hull mwaka 2012 huku akicheza mechi 22 msimu uliopita. Hata hivyo klabu hiyo ilishuka daraja msimu ulioisha.
Kipa huyo mpya atakabiriwa na ushindani wa namba dhidi ya kipa mahiri wa Leicester, Ksaper Schemeichel (30).
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.