ENGLAND . MAMBO ya usajili ndio kama ulivyosikia. Kwingine wanacheka, lakini kwa wengine ni choka mbaya.
Huko kwenye Ligi Kuu England presha ni kubwa kila timu ikijaribu kutafuta namna ya kujiweka sawa kabla ya msimu mpya kuanza. Dirisha la usajili linafungwa Alhamisi ya Agosti 9, saa 11:00 jioni kwa saa za Uingereza.
Hicho ndicho kinachotia presha. Msimu huu si kama ile misimu mingine iliyopita, dirisha la usajili linaendelea kuwa wazi hata baada ya ligi kuanza.
Lakini, sasa dirisha linafungwa leo, kesho yake ligi inaanza, usiposajili kwa wakati imekula kwako.
Hii ndio orodha ya mastaa walionaswa kwenye dirisha hili la majira ya kiangazi huko Ulaya na klabu za Ligi Kuu England.
ARSENAL
Stephan Lichtsteiner (Juventus)
Bernd Leno (Bayer Leverkusen)
Sokratis Papastathopoulos (Dortmund)
Lucas Torreira (Sampdoria)
Matteo Guendouzi (Lorient)
BOURNEMOUTH
David Brooks (Sheff Utd)
Diego Rico (Leganes)
BRIGHTON
Leon Balogun (Mainz)
Joseph Tomlinson (Yeovil)
Florin Andone (Deportivo)
Jason Steele (Sunderland)
Bernardo Fernandes da Silva Junior (RB Leipzig)
Hugo Keto (Arsenal)
David Button (Fulham)
Yves Bissouma (Lille)
Percy Tau (Mamelodi)
Alireza Jahanbakhsh (AZ Alkmaar)
BURNLEY
Dean Marney (released)
Scott Arfield (Rangers)
Tom Anderson (Doncaster)
Chris Long
(released)
Josh Ginnelly (released)
Conor Mitchell (St Johnstone)
Aiden Stone (Lancaster City)
CARDIFF CITY
Josh Murphy (Norwich)
Greg Cunningham (Preston)
Alex Smithies (QPR)
Bobby Reid (Bristol City)
CHELSEA
Jorginho (Napoli)
Robert Green
CRYSTAL
PALACE
Vicente Guaita (Getafe)
EVERTON
Richarlison (Watford)
FULHAM
Jean Michael Seri (Nice)
Maxime Le Marchand (Nice)
Fabricio Agosto Ramirez (Besiktas)
Andre Schurrle (Borussia Dortmund)
HUDDERSFIELD
Ben Hamer (Leicester)
Terence Kongolo
(Monaco)
Ramadan Sobhi (Stoke)
Juninho Bacuna
(Groningen)
Jonas Lossl (Mainz)
Erik Durm
(Dortmund)
Adama Diakhaby
(Monaco)
LEICESTER CITY
Ricardo Pereira (Porto)
Jonny Evans
(West Brom)
James Maddison
(Norwich)
Danny Ward (Liverpool)
LIVERPOOL
Fabinho
(Monaco)
Naby Keita
(RB Leipzig)
Xherdan
Shaqiri
(Stoke City)
Alisson Becker (AS Roma)
MAN CITY
Riyad Mahrez (Leicester)
Claudio Gomes (PSG)
MAN
UNITED
Diogo Dalot (Porto)
Fred (Shakhtar)
Lee Grant (Stoke)
NEWCASTLE
Martin Dubravka (Sparta Prague)
Ki Sung-yueng (Swansea)
Kenedy (Chelsea)
Fabian Schar (Deportivo)
SOUTHAMPTON
Stuart Armstrong (Celtic)
Mohamed Elyounoussi (Basel)
Angus Gunn (Man City)
Jannik Vestergaard (B.M’gladbach)
TOTTENHAM
Keanan Bennetts (B.M’gladbach)
Anton Walkes
(Portsmouth)
WATFORD
Ben Wilmot (Stevenage)
Gerard Deulofeu
(Barcelona)
Marc Navarro (Espanyol)
Adam Masina (Bologna)
Ken Sema (Ostersunds)
Ben Foster (West Brom)
WEST HAM
Ryan Fredericks
(Fulham)
Issa Diop (Toulouse)
Lukasz Fabianski (Swansea) Jack Wilshere (Arsenal)
Andriy
Yarmolenko (Dortmund)
Fabian Balbuena (Corinthians)
Felipe Anderson (Lazio)
WOLVES
Benik Afobe
(Bournemouth)
Willy Boly (Porto)
Raul Jimenez (Benfica)
Rui Patricio
(Sporting Lisbon)
Leo Bonatini (Al-Hilal)
Ruben Vinagre (Monaco)
Paulo Alves (Liverpool)
Joao Moutinho (Monaco)
Jonny Castro Otto
(Atletico).
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.