World Sport News
Makamu rais wa zamani wa FIFA ahukumiwa kifungo cha miaka tisa gerezani
Makamu Rais wa zamani wa FIFA amehukumiwa kifungo cha miaka tisa gerezani nchini Marekani ikiwa ni matokeo ya uchunguzi wa ruhswa iliyof...
World Sport News
Makamu rais wa zamani wa FIFA ahukumiwa kifungo cha miaka tisa gerezani
Makamu Rais wa zamani wa FIFA amehukumiwa kifungo cha miaka tisa gerezani nchini Marekani ikiwa ni matokeo ya uchunguzi wa ruhswa iliyof...
World Sport News
Klopp, Zidane wawania tuzo kocha bora wa mwaka Fifa
Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp, amejumuishwa miongoni mwa makocha 11, waliotajwa kuwania tuzo ya Kocha bora wa mwaka Fifa kwa wanaume....
World Sport News
Kane, Salah, Mbappe nani kuibeba Ballon d’Or ya Ronaldo
Mshambuliaji Harry Kane na Mohamed Salah wametajwa katika orodha ya wachezaji kumi wanaowania tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka wa Fifia 2...
World Sport News
Fifa yatetea teknolojia ya kutumia picha za video
Shirikisho la soka duniani Fifa limetetea mfumo mpya wa teknolojia ya Video uliobuniwa kuwasaidia Marefa kutoa maamuzi sahihi (VAR) kuwa...
World Sport News
GOLDEN STATE WAITWANGA CAVALIERS NA KUBEBA UBINGWA WA NBA
Hatimaye Golden State Worriers wametimiza ndoto yao ya kuchukua ubingwa wa NBA. Wamechukua ubingwa baada ya ushindi wa pointi 129-120 dh...
World Sport News
MTOTO WA TIOTE AVAA JEZI YA KUMKUMBUKA MAREHEMU BABA YAKE
Mtoto wa beki wa zamani wa Newcastle, Cheick Tiote ameonyesha kuguswa na msiba wa baba yake licha ya udogo wake. Rafael ameonekana akiwa...
World Sport News
Afrika yapewa nafasi 9 kombe la dunia 2026
Baraza la shirikisho la soka duniani Fifa limeidhinisha mpango wa kulipatia bara la Afrika nafasi 9 wakati kombe la dunia litakapoongeza t...
Bingwa mara nne wa medali ya dhahabu katika michezo ya Olimpiki Mo Farah anapanga kustaafu katika mbio za uwanjani baada ya kukamilika kwa...
Hivi ndivyo baadhi ya mataifa ya Afrika yalivyoorodheshwa katika jedwali la medali katika michezo ya Rio de Janeiro iliokamilika. Baadhi ...
Mwanariadha Usain Bolt akishangilia baada ya kushinda Medali ya Dhahabu ya mbio za mita 400 katika Olimpiki ya Rio 2016. Hiyo inakuwa M...
Mwanariadha Mjamaica Usain Bolt ameshinda mbio za mita 200 katika michuano ya Olympics huko Rio nchini Brazil na kujinyakulia medali ya d...
Kamati ya Olimpiki ya Marekani imeomba radhi kwa raia wa Brazil kwa kile walichosema jambo lisilokubalika la waogeleaji wa Marekani waliod...
Mwanariadha wa Afrika Kusini Caster Semenya amefika fainali ya mbio za mita 800m wanawake ambazo zitafanyika Jumapili. Semenya, 25, aliye...
Mkufunzi mkuu wa klabu ya Al Ahly ya Misri amejiuzulu chini ya mwaka mmoja baada ya kuteuliwa kuongoza klabu hiyo. Mholanzi Martin Jol am...
Mjumbe wa ngazi ya juu wa Kamati ya Olimpiki Patrick Hickey amewekwa chini ya ulinzi kwa kuhusishwa na ufisadi wa tiketi za Olimpiki. Afi...
Bingwa wa mbio za mita 3000 kuruka viunzi na maji kutoka Kenya Ezekiel Kemboi amenyang'anywa medali yake ya shaba aliyoishinda mjini ...
Kenya imeng'ara tena baada ya mwanariadha wake Faith Kipyegon kunyakua dhahabu ya tatu kwa ajili ya Kenya katika mbio za mita 1500 wan...
Mwanariadha wa Kenya Conseslus Kipruto ameishindia kenya dhahabu ya nne katika mbio za mita 3000 kuruka viunzi na maji katika michezo ya ...
Mchezaji wa Judo kutoka Misri Islam El Shehaby amerudishwa nyumbani kutoka katika michezo ya Olimpiki baada ya kukataa kusalimiana kwa mko...
Mwanariadha raia wa Kenya amedhihirisha umwamba wake baada ya kushinda mbio za mita 800 huko Rio De Jeneiro nchini Brazil usiku wa kuamki...