waliweza kuteketeza ndoa ya Rapper Wiz khlaifa pamoja na reality star Amber
Rose ambapo mtandao wa TMZ uliripoti
kwa Amber alidai mapacha hao
wanatoka na mumewe na yeye Amber
kuomba Talaka kwa mumewe sasa
nimekukusanyia baadhi ya picha za hawa watoto wa kike wazuri waliofanikiwa kumteka rapper Wiz khalifa....
Chapisha Maoni