YANGA SC imekamilisha mechi zake za Kundi D kwa kuchapwa 1-0 na wenyeji, Rayon Sport, bao pekee la mshambuliaji Mrundi, Bonfilscaleb Bimenyimana dakika ya 19 Uwanja wa Nyamirambo mjini Kigali.
Kwa matokeo hayo, Rayon inakwenda Nusu Fainali baada ya kumaliza nafasi ya pili kwa pointi zake tisa, nyuma ya USM Alger yenye pointi 11 baada ya kuifunga Gor Mahia ya Kenya leo 2-1 mjini Algiers. Yanga inamaliza nafasi ya mwisho kwa pointi zake nne, nyuma ya Gor Mahia yenye point nane.
カジノ シークレット カジノ シークレット カジノ シークレット カジノ シークレット 카지노사이트 카지노사이트 코인카지노 코인카지노 planet win 365 planet win 365 10cric login 10cric login happyluke happyluke dafabet link dafabet link 839
JibuFuta