![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj5-W-55N_RWxnFBx1TLpSIRcWB3lGyYyaFJuVJlrXB-kXU_SCPkvF_IHV18D1AbW-fy_n2674M6dcJHrU9ZGP9R8ApoMSlyRg2fH40BBWlW7fElGfJZ2Jq6cyN3q8SE4Sbx1_MWIimeQjU/s640/ccm.jpg)
CHADEMA.
Imeelezwa kuwa mwanaume huyo ni mfuasi wa CHADEMA huku mke wake akiwa ni mfuasi wa CCM.
Tukio linaelezwa kuwa limetokea jioni ya jana baada ya mume kumuuliza mkewe kampigia mgombea wa chama kipi , na mke aliposema CCM ndipo mume akaanza kumpiga hadi mauti ilipomfika.
Paul De Nyoso Seseja anaarifu kuwa mwanaume huyo alikuwa amebugia pombe na yuko kwenye mikono ya dola.
Chapisha Maoni