Rais Kikwete Apiga Tizi Mara Tatu Kwa Siku Kuimarisha Afya Yake 08:39 Unknown 0 PICHA A+ A- Print Email Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazoezi katika viwanja vya Ikulu kufuatia ushauri wa madaktari waliomtaka afanye hivyo mara tatu kwasiku ili kuendelea kuimarisha afya yake baada ya kufanyiwa upasuaji mwezi uliopita katika hospitali ya Johns Hopkins nchini Marekani.Picha na Ikulu
Chapisha Maoni