
Msamaria mwema akimbeba Mamalishe alifahamika kawa jina la Khadija Rashidi aliezirai baada ya milipuko ya mabomu katika ghasia za wamachinga na Askari
Polisi leo mchana katika eneo la kariakoo.
Mama lishe huyo alikuwa katika shughuli zake za kutayarisha chakula ghafla wamachinga waliokuwa wanakimbia kutaka kujificha katika sehemu za wafanyabiashara hao.

wamachinga na Askari Polisi cha FFU leo mchana.

baadhi ya Wamachinga waliosababisha
tafrani katika eneo la Kariakoo,Jijini Dar es salaam mchana wa leo.
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.