Baada ya Diamond Platinumz a.k.a Chibu kunaswa na camera akiwa amembebea mkoba mpenzi wake Zarri Hussein, jiulize je wanaumewangapi tunaliweza jambo hilo.
Kwa kitendo hicho ambacho wanawake wengi wamekifagilia na kukiita cha kigentleman unampa maksi ngapi msanii huyu?
Chapisha Maoni