Timu ya Taifa ya Lesotho Wanatarajia kutua nchini Alhamis kwa ajili ya mchezo wa Kuwania nafasi ya Kufuzu kwa fainali za Mataifa Afrika mwaka 2019 dhidi ya Taifa Stars.
Kocha mkuu wa Timu hiyo Moses Maliehe Tayari ametangaza kikosi kamili ambacho kitaongozwa na mkongwe Bokang Lefty Mothoana Huku wakiwa na dhamira Kuu ya kurudisha hadhi ya Soka nchini humo.
Kabla ya Mchezo huo ambao utafanyika kwenye uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, Lesotho wamecheza michezo miwili ya Kirafiki dhidi ya Mauritania ambao wakashinda Bao 1-0 pamoja na mchezo dhidi ya Swaziland walioshinda kwa bao 1-0 kwa bila pia.
Makipa.
1. Likano Mphuthi- LDF Fc
2. Sam Ketsekile- LCS Fc
Walinzi.
3. Motlomelo Mkwanazi- SUNDAWANA Fc
4. Mafa Moremoholo - LIOLI Fc
5. Bokang Sello - LIOLI Fc
6. Motiki Mohale - LCS Fc
7. Kopano Tseka - LIOLI Fc
8. Thapelo Mokhehle - BANTU Fc
Viungo
9. Bokang Mothoana - KICK4LIFE Fc
10. Thabiso Brown - KICK4LIFE Fc
11. Tsoanelo Koetle - LIOLI Fc
12. Thabiso Mohapi - BANTU Fc
13. Mabuti Potloane - MATLAMA Fc
14. Hlompho Kalake - BANTU Fc
15. Napo Matsoso -DERBY CITY ROVERS (USA)
Washambuliaji
16. Tumelo Khutlang - LIOLI Fc
17. Jane Thaba-Ntso - MATLAMA Fc
18. Sera Motebang - MATLAMA Fc
19. Thapelo Tale - KICK4LIFE Fc
Chapisha Maoni