Tanzania Sport
Serengeti Boys yaichapa Burundi 2-1
Dar es Salaam. Serengeti Boys imeanza vizuri mashindano ya kusaka kufuzu kwa fainali za Mataifa Afrika ‘Afcon’ baada ya kuichapa Burundi...
Tanzania Sport
Serengeti Boys yaichapa Burundi 2-1
Dar es Salaam. Serengeti Boys imeanza vizuri mashindano ya kusaka kufuzu kwa fainali za Mataifa Afrika ‘Afcon’ baada ya kuichapa Burundi...
Tanzania Sport
Simba imeshindwa kutamba mbele ya Namungo FC yatoka sare ya 0-0
Kikosi cha Simba imeshindwa kutamba mbele ya Namungo FC kwa kwenda suluhu ya 0-0 katika mchezo wa kirafiki uliopigwa Ruangwa, Lindi. Kat...
Tanzania Sport
SIMBA DAY HII LEO KATIKA UWANJA WA TAIFA
Leo ni leo katika Simba day masabiki na wanachama wa Simba wataupamba Uwanja wa Taifa kwa rangi nyekundu na nyeupe wakati timu yao itaka...
Tanzania Sport
COASTAL YAFAFANUA USAJILI WA ALIKIBA
BAADA ya Coastal Union kufanikiwa kumpa mkataba wa mwaka mmoja mwanamuziki maarufu nchini, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’, uongozi wa timu hiy...
Tanzania Sport
Kikosi cha Yanga msimu ujao
KLABU ya Yanga imeanika kikosi kamili katika msimu ujao wa 2018/2019. MAKIPA 1. Klaus kindoki 2. Benno Kakolanya 3. Kabwili Ramadhani 4....
Tanzania Sport
Simba yaichapa Mbeya city 3-1 na kuwa na nafasi kubwa wa ubingwa
Timu ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam imeongeza wigo wa alama nane dhidi ya mpinzani wake Dar Young Africans baada ya kuibuka na...
Tanzania Sport
Lwandamina kung’oka na kigogo
MAMBO bado mazito na mashabiki wa Yanga hawaelewi nini kimetokea hadi kocha, George Lwandamina akaondoka kwenye kikosi cha mabingwa hao ...
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewaachia huru wachezaji Deus Kaseke na Obrey Chirwa baada ya kutowakuta ...
Mabingwa wa Kombe la Azam Sports Federation Simba Sports Club wamefanikiwa kutwaa Ngao ya Hisani baada ya kuibuka na ushindi wa penati 5-4 b...
Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Zubeir Katwila amesema kuwa mchezo baina yao na Simba ambao umepigwa leo kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Sal...
Klabu ya Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 kwenye mchezo wa kujipima nguvu dhidi ya Mlandege FC ya visiwani Zanzibar. Katika mchezo hu...
Tanzania Sport
Misosi FC mabingwa wapya wa Ndondo Cup 2017
Timu ya Misosi FC imeibuka mabingwa wapya wa Ndodo Cup 2017 baada ya kuifunga Gomz penalti 5-4. Mchezo huo wa fainali ulifika hatua ya m...
Hatimaye Wallace Karia ametangazwa kuibukamshindi wa kinyang’anyiro cha Urais wa Shirikisho la Soka nchini baada ya kuwabwaga wapinzani wake...
Tanzania Sport
Simba SC yaichapa Rayon Sports 1-0
Mabingwa wa Azam Sports Federation Cup, Mnyama Simba Sports ClubJioni ya Leo wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mabingw...
Mgombea wa nafasi ya Ujumbe wa kamati Tendaji ya Shirikisho la Soka nchini TFF Kanda ya Dar es Salaam, Shaffih Dauda ametangaza kujiengua ka...
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru)Mkoa wa Mwanza imesema inaendelea kufanya uchunguzi dhidi ya baadhi ya wagombea na wapiga...
Ndanda imeanza kusuka kikosi chake kwa kumsajili kiungo Jabir Aziz 'Stima' kwa mkataba wa mwaka mmoja huku wakiwa mbioni kumalizana ...
Tanzania Sport
Maganga kushika mikoba ya Kapombe, Stars
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ keshokutwa Jumamosi itapambana na Rwanda katika mchezo wa marudiano wa kufuzu fainali za Afrika ...
Tanzania Sport
Taifa Stars yapania kuivuruga Rwanda kwao
Taifa Stars inaondoka kesho Jumatano kuelekea nchini Rwanda tayari kwa mchezo wao wa marudiano wa kufuzu kwa mashindano ya Kombe la Mata...
Tanzania Sport
Kipa mpya Azam aitaka namba ya Manula
Kipa mpya wa Azam, Benedict Haule amesema atajituma ili kuhakikisha anapata namba ya kudumu katika kikosi cha kwanza cha mabingwa hao wa...