Ufeki wa Mastaa wa Bongo Kwenye Mitandao..Cheki hii ya Batuli
Nikitu cha kawaida kwa mastaa wetu wa hapa
bongo ku -FAKE maisha yao ya kwaida na
kuonyesha vitu/mambo mazuri mazuri
kama....anakula bata na jamaa zake, yupo nje
ya nchi,yupo home (Kama home pazuri kiaina
lakini) kwenye mitandao ya kijamii....Kwa
mfano mida ya Lunch Time wengi hushare
picha akikaribisha watu wakati anakula vitu
kama BAGA, Chips Kuku, Mbuzi choma
NK...hata sikumoja usitegemee staa wa bongo
akapost anakula MIHOGO..HEHEHEHE...Turudi
kwenye Ishu... Mwanadada Batuli, Staa wa kutoka Bongo
Movies ametoa kali ya mwaka na ame PROVE
kuwa na kipaji cha uigizaji hata bila kuwa
mbele ya DAIRECTA.... (Kwa mtazamo wangu)
hii baada ya kuweka picha yake kwenye
mtandao wa INSTAGRAM akiwa amelala na
kuwatakia followers wake USIKU MWEMA
(akiwaaminisha kuwa hapo alipondio analala
hivyo)....na kesho yake akiwa palepale
kitandao akaweka picha nyingine na kuwatakia
ASUBUHI NJEMA (akiwaaminisha kuwa hapo
ndio anaamka).....
Tazama picha hizi kawa UMAKINI then
utagungua KITU....
Hapa anasema; Nouma sana....Huyu alilala au
alifumba macho na kufumbua hii noma sana
Chapisha Maoni