kwenye 10 bora ya wachezaji
wanaowania tuzo za mchezaji bora
barani Ulaya. Shirikisho la Soka Barani
Ulaya (UEFA) jana Julai 18 lilitangaza
orodha ya wachezaji 10 bora
wanaowania tuzo za mchezaji bora
barani humo kwa msimu wa mwaka
2015-2016.
Ndani ya orodha hiyo, mabingwa wa
kombe la Klabu Bingwa barani Ulaya
Real Madrid ndio walionekana wakiwa na
wachezaji wengi zaidi.
Pamoja na kukomaa kuisaidia timu yake
ya FC Barcelona, mchezaji wa kimataifa
kutoka Brazil, Neymar aliyeisaidia timu
hiyo kutwaa kombe zote nchini
Uhispania na kuifikisha timu hiyo katika
nusu fainali za klabu bingwa
hakuonekana katika orodha hiyo.
Kwa mwaka jana, tuzo hiyo alichukua
mchezaji wa kimataifa kutoka Argentina,
Lionel Messi.
Chapisha Maoni