
atazikwa katika makaburi ya Chang’ombe karibu na maduka mawili.
Akizungumza na mtandao huu jioni hii, kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family amesema mpaka sasa wapo kwenye maandalizi ya mazishi
yatakayofanyika kesho saa kumi jioni.
“Kwajinsi ratiba ilivyo msiba utakuwa nyumbani kwa baba yake, kwenye nyumba ya marehemu baba yake kwahiyo kesho tunatarajia tukiweza
tumuage pale Chang’ombe na baada ya hapo tutazika kwenye makaburi ya Chang’ombe hapo karibu na maduka mawili,” amesema Fella.
Chapisha Maoni