Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) James Mbatia akisalimia wananchi wakati akipita katika kijiji chaKahe ,jimbo la Vunjo ambako amefanya mikutano katika vijiji mbalimbali ya kuwanadi wagombea wa nafasi ya Uenyekiti.
Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti katika kijiji cha Ngaseni B katikajimbo la Vunjo,Amfrosia Komba (41),mtoto wa Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi kapt,John Komba(CCM) akijinadi kwa wapiga kura katika kijiji hicho.Amfrosia maarufu kama Zawadi anagombea nafasi hiyo kwa tiketi yachama cha NCCR-Mageuzi.

Chapisha Maoni