0
Sakata la Chadema na CCM BAVICHA wampinga Mbowe Sakata la Chadema na CCM BAVICHA wampinga Mbowe

Baraza la vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limeapa kwenda mkoani Dodoma kusaidia jeshi la polisi kuzuia mkutano mkuu...

Soma zaidi »

0
Viongozi Watatu wa Baraza la
Vijana la Chadema (Bavicha)
Watiwa mbaroni Mkoani
Dodoma Viongozi Watatu wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) Watiwa mbaroni Mkoani Dodoma

JESHI la Polisi mkoani Dodoma linawashikilia viongozi watatu wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) Taifa, kwa...

Soma zaidi »

0
Mtatiro Amtaka Profesa
Lipumba Apumzike
Uongozi Mtatiro Amtaka Profesa Lipumba Apumzike Uongozi

ALIYEKUWA Naibu Katibu Mkuu wa CUF (Bara), Julius Mtatiro amesema hana mpango wa kugombea nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho, licha ya kuw...

Soma zaidi »

0
Lowassa Awapa Chadema Ukweli Kazi
ya Chama cha Siasa ni Kukamata Dola na Sio
Kupanga Maandamano Lowassa Awapa Chadema Ukweli Kazi ya Chama cha Siasa ni Kukamata Dola na Sio Kupanga Maandamano

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amewataka viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutokatishwa tamaa na hali ya kisi...

Soma zaidi »

0
Mvutano wa CCM na
CHADEMA Walitikisa Jeshi la Polisi Mvutano wa CCM na CHADEMA Walitikisa Jeshi la Polisi

Mvutano wa kisiasa baina ya vijana wa CCM na CHADEMA kuhusu katazo la mikutano ya vyama vya siasa umezidi kukua huku jeshi la polisi likit...

Soma zaidi »

0
UKAWA tunajali maslahi ya Taifa
kwanza UKAWA tunajali maslahi ya Taifa kwanza

Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Injinia James Fransis Mbatia amesema kwamba maamuzi yoyote ambayo kambi ya upinzani itayafanya endapo wataitwa ...

Soma zaidi »

0
Maalim Seif Adai kuwa yuko
Tayari Kukamatwa Maalim Seif Adai kuwa yuko Tayari Kukamatwa

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad amesema Jeshi la Polisi kama lina nia ya kumkamata na kumweka ndani lifan...

Soma zaidi »

0
CHADEMA Yaandaa Vijana
4,000 wa Kuzuia mkutano wa
CCM CHADEMA Yaandaa Vijana 4,000 wa Kuzuia mkutano wa CCM

BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) limeendeleza msimamo wake wa kuzuia Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, uliopangwa...

Soma zaidi »

0
CUF yatinga Mahakamani CUF yatinga Mahakamani

Mgongano baina ya Chama cha Wananchi (CUF) na Jeshi la Polisi Zanzibar, umechukua sura mpya baada ya chama hicho kufungua kesi mahakamani,...

Soma zaidi »

0
Taasisi ya Maridhiano
kutafuta muafaka kati ya UKAWA na Naibu Spika Taasisi ya Maridhiano kutafuta muafaka kati ya UKAWA na Naibu Spika

TAASISI ya Maridhiano inatarajia kuwasilisha ujumbe kwa Spika wa Bunge Job Ndugai kuomba kuyakutanisha makundi mawili yanayosigana bungeni...

Soma zaidi »

0
CUF Yapinga Polisi kushikilia
viongozi wao bila kuwashitaki CUF Yapinga Polisi kushikilia viongozi wao bila kuwashitaki

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimelitaka Jeshi la Polisi kuwapandisha mahakamani viongozi wake wanaowashikilia kwa tuhuma za uchochezi kisiwani...

Soma zaidi »

0
Chadema- Maandalizi ya
Kuuzuia Mkutano wa CCM Chadema- Maandalizi ya Kuuzuia Mkutano wa CCM

KATIKA kutekeleza tamko la Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) la kufika Dodoma kusaidiana na Jeshi la Polisi kuzuia Mkutano Mkuu wa Cha...

Soma zaidi »

0
UVCCM Yawapa Onyo Kali
Vijana wa CHADEMA
Walioandaliwa Kuvuruga
Mkutano wa CCM Dodoma UVCCM Yawapa Onyo Kali Vijana wa CHADEMA Walioandaliwa Kuvuruga Mkutano wa CCM Dodoma

Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) umeingia katika mvutano mkubwa na Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) kuhusu Mkutano Mkuu Maalum wa chama hi...

Soma zaidi »

0
CHADEMA Waapa
Kutibua Mkutano wa
CCM, Vijana 2000
Kupelekwa Dodoma CHADEMA Waapa Kutibua Mkutano wa CCM, Vijana 2000 Kupelekwa Dodoma

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepanga kulisaidia Jeshi la Polisi kuzuia Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hivi ka...

Soma zaidi »

0
Watatu Mikononi Mwa
Polisi Kwa Kubeba
Mabango ya
Kumkashifu Rais Magufuli Watatu Mikononi Mwa Polisi Kwa Kubeba Mabango ya Kumkashifu Rais Magufuli

Jana wafuasi wa UKAWA walitiwa mbaroni baada ya kutoke mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe wa kumkashifu ...

Soma zaidi »
 
 
Top