Mshambuliaji wa Chelsea, Loic Remy (kulia) akipambana na mchezaji wa Watford, Daniel Pudil (katikati) katika mchezo wa Kombe la FA Raundi ya Tatu Jumapili Uwanja wa StamfordBridge. The Bluse walishinda 3-0, mabao yao yakifungwa na Remy, Willian na Kurt Zouma.
Chapisha Maoni