Wasamalia wema wakifanya utaratibu wa kumuokoa Dereva wa Gari aina ya Isuzu Trooper iliyopiga mweleka katika makutano ya Shule ya Msingi Oysterbay,mara baada ya kugongana na gari nyingine aina ya Toyota Vitz iliyokuwa ikitokea upande waCoco Beach jijini Dar mchana wa leo na
kupekea dereva wa Gari hii (alikuwa ni
Mama mtu mzima ambaye jina lake
halikuweza kupatikana mara moja) kuumia sehemu ya kiuno na mkono.Gari hii ilikuwa inatokea upande wa St.
Peter's kuelekeaMorogoro Store na Vitz ilikuwa ikitokea upande wa bahari na kuvuka ghafla barabara hiyo.
Mashuhuda wakiwa wameizunguka garihiyo mara baada ya kufanikiwa kumtoa
Mama aliekuwa akiendesha Gari hilo.
Hivi ndivyo ilivyo hii Toyota Vitz baada ya kuhongana na Isuzu Trooper iliyopinduka.
Huyu ndio Mama aliekuwa akiendesha Gari iliyopinduka.
Chapisha Maoni