2016 ulichezwa na kushuhudia timu ya
taifa ya Ureno ikifanikiwa kutwaa Kombe
la Euro kwa kuibuka na ushindi wa goli
1-0 dhidi ya mwenyeji Ufaransa. Tukio la
kuumiza kwa mashabiki wa Ureno ni
pale dakika ya 23 nahodha wao Cristiano
Ronaldo alipotolewa nje ya uwanja kwa
kubebwa juujuu akiwa analia baada ya
kushindwa kuendelea na mechi kutokana
na kufanyiwa faulo mbaya!
Muda mfupi baada ya Ronaldo kutolewa
analia, mama mzazi wa staa huyo
Dolores Aveiro aliandika ujumbe wake
kutumia akaunti yake ya Twitter
unaoonesha kusikitishwa kwake kwa
faulo aliyofanyiwa mwanaye, “Siwezi
kumuangalia mwanangu akiwa katika
hali hii (analia), kucheza mpira sio
kumuumiza mpinzani!”
Chapisha Maoni