zamani wa FIFA amesemekana kuwa
katika hali nzuri baada ya kufanyiwa
upasuaji mjini Zürich huko Uswisi.
Msemaji wake Renggli alithibitisha ya
kwamba mwenyekiti huyo wa zamani wa
FIFA mwenye umri wa miaka 80
anaendelea vizuri baada ya kufanyiwa
upasuaji katika hospitali ya Uswisi.
Msemaji Renggli alifahamisha hayo
katika mahojiano na kituo cha habari za
michezo cha SID cha nchini Ujerumani.
Ni kwamba Joseph Blatter alifanyiwa
upasuaji huo baada ya kukutwa na
saratani ya ngozi siku nyingi zilizopita.
Chapisha Maoni