iliyotolewa na TFF ya kufungiwa mwaka
mmoja na kulipa faini ya milioni 3.
Akizungumza na moja ya radio maarufu
nchini Tanzania Muro ambaye hatakiwi
kujishughulisha jambo lolote la soka
mpaka adhabu yake itakapoisha amesema
moja ya sababu inayomfanya asikubali
adhabu hiyo ni kushindwa kusikilizwa
wakati maamuzi hayo yanatolewa jana.
Pia Muro amesema "Yeye ameajiriwa na
Yanga hivyo basi wenye mamlaka ya
kumfuta kazi au kumsimamisha ni Yanga wenyewe na yeyote/taasisi nyingine yeyote.
Jerry alihukumiwa na kamati ya maadili ya
TFF kutojihusisha na soka kwa muda wa
mwaka mmoja kutokana na
- Kukaidi agizo la kulipa faini tangu mwezi Mei mwaka jana.
- kuipinga TFF Pale TFF walipotaka jukwal la Simba lililoko uwanja wa taifa lisikaliwe na washabiki wa Yanga katika mechi ya yanga dhidi tp mazembe june 27 mwaka
huu.
- kutamka maneno ya kichochezi kwenye vyombo vya habari.
Chapisha Maoni