0
Mcheza tenisi maarufu,
Mmarekani Serena Williams
akiwa amezimia uwanjani
kwa furaha ya kutwaa taji la
saba la Wimbledon mjini
London leo baada ya
kumfunga
Mjerumani Angelique Kerber
katika fainali ya wanawake
kwa seti 2-0, akishinda 7-5
na 6-3 na kutimiza mataji 22
ya Grand Slam, hivyo kufikia
rekodi ya Steffi Graf kama
wanawake waliotwaa mataji
mengi zaidi. Kwa ushindi
huo, amezawadiwa Pauni
Milioni 2 huku Angelique
Kerber akipata Pauni Milioni
1 kwa kushika nafasi ya pili




Chz
Ben Zubery

Chapisha Maoni

 
Top