0
Zaidi ya watu 125 wamefariki katika mashambulizi mawili ya bomu yaliyokumba mji mkuu wa Iraq
Baghdad.
Watu wengine 130 wamejeruhiwa vibaya katika mashambulizi hayo yaliyodaiwa kutekelezwa na kundi la wanamgambo wa kiislamu la Islamic
State.
Kundi la Islamic State lilidai kuhusika kwenye shambulizi hilo ambapo bomu lililokuwa limetegwa
ndani ya gari lililipuka karibu na mkahawa katika
wilaya ya Karada na kuwaua takriban watu 6.
Zaidi ya watu 20 na walijeruhiwa.
Bomu la pili lililipuka baadaye kaskazini mwa mjw wa Baghdad.
Milipuko hiyo inatokea wiki moja baada ya wanajeshi wa Iraq kuukomboa mji wa Fallujah
kutoka kwa Islamic State.



BBC

Chapisha Maoni

 
Top