Baada ya Everton kuthibitisha kuja kucheza Tanzania, Je ni timu gani kati ya Yanga na Simba ambayo itapata nafasi hii ya kipekee Klabu za Simba na Yanga zina nafasi kubwa ya
kukutana na klabu ya Everton ya Uingereza mwanzoni mwa mwezi wa saba jijini Dar es
salaam Kupitia kwenye akaunti yao ya twitter, Everton
wamethibitisha kutua nchini Tanzania mwanzoni mwa mwezi wa saba kwa ajili ya mchezo mmoja dhidi ya bingwa wa michuano ya Sportpesa Bingwa wa michuano hiyo ya Sportpesa licha ya kulamba milioni 60 pia kucheza na klabu ya
Everton Julai 13 nchini Tanzania katika uwanja
wa Taifa Dar es salaam
Hivyo ni fursa ya kipekee kwa klabu za Kitanzania hasa za Simba na Yanga kuyatumia
vyema mashindano hayo ya Sportpesa Mashindano ya Sportpesa yanatarajiwa kuanza
Julai 5 na yanajumuisha timu 8, nne kutoka Kenya na nne za Tanzania Nakuru All stars, Tusker, Gor Mahia, AFC Leopard kuiwakilisha Kenya huku Tanzania ikiwakilishwa
na klabu za Simba, Yanga, Singida United na
Jang'ombe
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni