Uongozi wa Klabu ya Soka ya Dar Young Africans amesema Umepotea kwa Masikitiko taarifa za kifo cha Shabiki na mwanachama mkubwa wa Timu hiyo Ally Yanga.
Taarifa ya klabu ya Yanga imesema kwamba kwa wapenzi wa Soka imesema kwamba faraja ya Mungu ikawe pamoja ndugu, Jamaa Na Familia katika kipindi chote cha Majonzi.
-Pia nasi Yanga kifo chake kina acha pengo kubwa kwa nafasi yake ambayo ilipelekea kujipatia umaarufu mkubwa na alikuwa balozi mzuri kama mwanachama na shabiki mkubwa wa timu yetu, Bwana alitoa, Bwana ametwaa" Imesema sehemu ya Taarifa hiyo.
Ajali ya Gari.
Ally ambaye amefariki mchana wa Leo katika Ajali ya Gari huko Mpwapwa mkoani Dodoma anakumbukwa kwa namna alivyokuwa akishangalia kwa kujipaka mkaa usoni na kuweka matambara Tumboni Kama mtu mwenye Kitambi.
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.