Arsenal katika mchezo huo wa kirafiki ilitoka sare ya 1-1 kisha kupigiana matuta na kushinda penalti 3-2 mechi iliyopigwa Shangai leo Jumatano.
In the headlines Arsenal yaonyesha makali yake msimu huu kwa Bayern Munich
WEDNESDAY JULY 19 2017
Klabu ya Arsenal imeanza kulipa kisasi cha mabao 5-1 ilichopokea kutoka kwa Bayern Munich kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu uliopita.
Arsenal katika mchezo huo wa kirafiki ilitoka sare ya 1-1 kisha kupigiana matuta na kushinda penalti 3-2 mechi iliyopigwa Shangai leo Jumatano.
Kocha Arsene Wenger alionekana kwenye benchi akishuhudia silaha zake mpya alizosajili kwa ajili ya kuimarisha kikosi msimu mpya wa 2017/18.
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.