0
Celtic ya Scotland kwa mara ya kwanza chini ya Brendan Roger imeshindwa kutinga hatua ya makundi klabu bingwa barani Ulaya baada ya kufungwa 2-1 AEK Athens na hivyo kuondoshwa kwa jumla ya 3-2
Dynamo Kiev nao wametinga kwenye makundi kwa jumla ya ushindi wa 3-1 Slavia Prague
Dinamo Zagreb wamesonga kwa jumla ya kuifunga FC Astana 3-0 .
Wareno wa Benfica wamewaondosha waturuki wa Fenerbahçe 2-1
Ajax Amstedam watinga hatua ya makundi kwa kuwatungua Standard Liege kwa jumla ya 5-2
Red Star Belgrade waibuka kidedea dhidi ya Spartak Trnava kwa kujumla 3-2

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top