0
Irene Uwoya atoa kali ya mwaka Irene Uwoya atoa kali ya mwaka

Staa wa filamu mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Irene Uwoya ametoa kali ya mwaka kwa kusema kuwa, huwa hana mzuka wa kudumu na mpenzi mmoja ...

Soma zaidi »

0
Tamko la RC Makonda
kuhusu mashoga
waliopo jijini Dar es
Salaam Tamko la RC Makonda kuhusu mashoga waliopo jijini Dar es Salaam

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza vita na makaka poa (mashoga) na madada poa (makahaba) walioko jijini Dar es Salaam k...

Soma zaidi »

0
Shilole Kutafuta Mume
Kijijini Shilole Kutafuta Mume Kijijini

MKALI wa Muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amejutia kuwapenda wanaume wa mjini kuwa ni wavivu kila sekta hivyo anajipanga k...

Soma zaidi »

0
Acha Wajichore , Aunt Ezekile,
Kajala, Chuchu Hans, Nuh
Mziwanda, Harmonise Acha Wajichore , Aunt Ezekile, Kajala, Chuchu Hans, Nuh Mziwanda, Harmonise

KATIKA dunia ya sasa ya mwendo kasi suala la watu kujichora tattoo sio jambo geni. Wapo wanaojichora kwa ajili ya kuwaenzi wenza wao kwa m...

Soma zaidi »

0
Snura Afunguka Kupigwa Chini
Kwa ‘Script’ ya Video Mpya ya
Chura Snura Afunguka Kupigwa Chini Kwa ‘Script’ ya Video Mpya ya Chura

May 4 2016 serikali kupitia wizara ya Habari,Sanaa,Utamaduni na Michezo waliufungia wimbo wa Chura pamoja na kumfungia msanii Snura kimuz...

Soma zaidi »

0
Chozi la Mobeto Laana Kwa Lulu! Chozi la Mobeto Laana Kwa Lulu!

Kufuatia staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kudaiwa kumpora mwanaume aliyezaa naye, chozi la mwanamitindo anayeuza nyago ...

Soma zaidi »

0
Picha:Uwoya Amtia Majaribuni
Richie Picha:Uwoya Amtia Majaribuni Richie

WAKATI Waislam wakiwa kwenye Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, staa wa filamu Bongo, Irene Uwoya juzikati alimtia majaribuni msanii mw...

Soma zaidi »

0
Maisha ya Masanja Akiwa
Shambani Maisha ya Masanja Akiwa Shambani

Msanii wa vichekesho wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji ‘street pastor’ ameweka picha kadhaa mtandaoni ...

Soma zaidi »

0
Shilole Aanzisha Label ‘Shilole
Entertainment’ Amsaini Msanii huyu Shilole Aanzisha Label ‘Shilole Entertainment’ Amsaini Msanii huyu

Msanii wa muziki Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameanzisha label yake mpya ‘Shilole Entertainment’ ambapo pia amemsaini msanii chipukizi aitwae ...

Soma zaidi »

0
Meneja Sober House Aanika
Mazito ya Ray C Meneja Sober House Aanika Mazito ya Ray C

SIKU chache baada ya kufikishwa katika kituo maaulum cha kusaidia waathirika wa dawa za kulevya Bagamoyo Sober House, meneja wa kituo hich...

Soma zaidi »

0
MASTAA WA KIKE WATOTO
KWANZA NDOA SIYO ISHU MASTAA WA KIKE WATOTO KWANZA NDOA SIYO ISHU

WAKATI mastaa kadhaa wa kike wa filamu Tanzania wakionekana umri wao kuwatupa mkono, lakini wakiwa hawana ndoa wala watoto, baadhi yao wame...

Soma zaidi »

0
Ni kweli hii.?? Matonya aliwekewa
madawa kwenye pombe Alewa na
kukutwa vichakani hajitambui Ni kweli hii.?? Matonya aliwekewa madawa kwenye pombe Alewa na kukutwa vichakani hajitambui

 Hitmaker wa ‘Anita’ Matonya aliwekewa vitu vinavyohisiwa kuwa ni madawa kwenye pombe aliyokuwa akinywa, kwa mujibu wa Rich One ambaye ni ji...

Soma zaidi »

0
"Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu,
Ulizibeba Aibu Zangu"...Ujumbe
Mzito wa Lulu Michael kwa Mama
Yake "Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu"...Ujumbe Mzito wa Lulu Michael kwa Mama Yake

“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena) Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshi...

Soma zaidi »

0
Aunt Ezekiel: "Mume wangu Hajui
kama nina Mimba" Aunt Ezekiel: "Mume wangu Hajui kama nina Mimba"

Msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ‘Mama Kijacho’ amefunguka kuwa, licha ya ujauzito wake kuwa mkubwa, mume wake Sunday Demonte hana taa...

Soma zaidi »

0
AIBU HII MKE WA KIGOGO AANZA MWAKA
VIBAYA NI BAADA YA
KUNYWESHA POMBE NA
KUFANYIWA KITU MBAYA AIBU HII MKE WA KIGOGO AANZA MWAKA VIBAYA NI BAADA YA KUNYWESHA POMBE NA KUFANYIWA KITU MBAYA

Hii ni aibu nzito! Mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Oliver (pichani) ambaye inadaiwa ni mke wa kigogo wa Wizara ya Mali Asili na Utalii ...

Soma zaidi »

0
Noma kweli: "Diamond Hana Uwezo wa Kumpa
Mwanamke Ujauzito" (PENNY) Noma kweli: "Diamond Hana Uwezo wa Kumpa Mwanamke Ujauzito" (PENNY)

BAADA ya kudaiwa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa alichoropoa mimba zake mbili, mtangazaji wa Radio E-FM, Penn...

Soma zaidi »

0
 SIO SIRI TENA
MSANII WA BONGO MOVIE ROSE NDAUKA, RICHIE WARUDIANA SIO SIRI TENA MSANII WA BONGO MOVIE ROSE NDAUKA, RICHIE WARUDIANA

Staa wa sinema Bongo, Rose Ndauka akifurahia jambo. MASTAA wa sinema waliowahi kuwa wapenzi enzi hizo, Rose Ndauka na Single Mtambal...

Soma zaidi »

0
MAZITO NA MAPYA YAIBUKA
BAADA YA SHILOLE KUVALISHWA
PETE YA UCHUMBA MAZITO NA MAPYA YAIBUKA BAADA YA SHILOLE KUVALISHWA PETE YA UCHUMBA

Mara tu baada ya mwanadada  mwaigizaji wa filamu na mtafutaji kunako tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, kuvalishw...

Soma zaidi »

0
KAHABA WA TANZANIA ASIMULIA
JINSI ALIVYOUSAMBAZA UKIMWI
KWA MAELFU YA WANAUME KAHABA WA TANZANIA ASIMULIA JINSI ALIVYOUSAMBAZA UKIMWI KWA MAELFU YA WANAUME

MWANAMKE mmoja wa Kitanzania aliyefanya ukabaha kwa miaka 18 katika miji mbalimbali ya Tanzania, likiwemo Jiji Kuu la kibiashara la Dar es...

Soma zaidi »

0
WOLPER "SIJAWAHI KABISA KUVAA
NGUO FUPU"......"LAKINI HII YA LEO
NI BAHATI MBAYA TU" WOLPER "SIJAWAHI KABISA KUVAA NGUO FUPU"......"LAKINI HII YA LEO NI BAHATI MBAYA TU"

 Mrembo na mwigizaji wa kike wa filamu hapa nchini, Jackline Masawe “Wolper” amekuwa akisifiwa kwa kuvaa nguo za heshima ukilinganisha na ma...

Soma zaidi »
 
 
Top