Gari aina ya Nissani Murano alilozawadiwa Wema Sepetu na mpenzi wake Diamond Platnumz. STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz
amemzawadia gari aina ya Nissan Muran mpenzi wake Wema Sepetu katika bethidei yake jana.
Kupitia ukaunti yake ya Instagram, Diamond ameandika hivi:
Chapisha Maoni