0
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati) akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Maneromango jana wakati wa ziara yake
wilayani Kisarawe, Pwani ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kuata Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho pamoja na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi.Wananchi wa Kata ya Maneromango wakisikiliza kwa makini hotuba ya Kinana katika mkutano huo ambapo aliwananga wapinzani kuwa wapo kwa
ajili ya kupanga maandamano, kutukana, kutoa manaeneo machafu kwa Serikali wakati CCM ipo kiutendaji zaidi katika masuala ya maendeleo ya
wananchi.

Chapisha Maoni

 
Top