0
Digitari imerahisisha sana maisha, hata
mapenzi wakuu yapo ya kidigitari. Zile
habari za analogia mwanamke
unamtongoza leo kula issue mwakani
hazipo tena.
Leo ukijisikia una hamu ya kungonoko
weka msimbazi wako kwenye walleti
taratibu unajiondokea nyumbani
humalizi hata kilomita mbili wa
kukuchuna anakuwa ameshapatikana.
Sana sana kama unawaogopea macho
wanawake warembo unaokutana nao
njiani unaweza kutembea kilometa
nyingi kidogo, lakini ukweli ni kwamba
wanawake wengi warembo rahisi sana
kuwapata kwa sababu hawajiamini lakini
mbili wanaume wengi wamejengeka na
kasumba kwamba kuoa mwanamke
mrembo utapata stress ,bp, sheli nk.
Mwanamke unampata unasex naye na
zaidi ya zaidi huna hata sababu ya kujua
jina lake ,kwa sababu mkiachana na
biashara imeisha , sana sana kama
pombe yake imekuridhisha utachukua
namba yake ya simu. Kama pombe
yenyewe imezidi maji kimea kidogo
mkiachana ndo imetoka hiyo.
Kwa mazingira yalivyo sasa huwa
najiuliza kwa nini watu wanabaka,kila
nikifikiria huwa sipati jibu kwa kweli.

Chapisha Maoni

 
Top