KOCHA Jose Mourinho amesema kwamba Diego Costa hawezi kucheza mechi tatu kwa wiki Chelsea kwa ababu ya maumivu ya nyama aliyoyapata akiitumikia timu yake ya taifa, Hispania.Costa, ambaye amefunga mabao saba katika mechi zane nne za awali Chelsea, alilazimika kuanzia benchi katika mchezo wa sare ya 1-1 na Schalke Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa
jana.
Pamoja na hayo, Mourinho hakuwa na
malalamiko coyote kwa Hispania zaidi ya kusema na wao pia wanamhudumia vizuri mshambuliaji huyo juu matatizo yake ya misuli yanayomkabili.
Chapisha Maoni