amefunguka kuhusu tetesi zinazoendelea
kuwa ameachana na Wema Sepetu na
kwamba ana mpango wa kufunga ndoa
na Meninah Diamond alisema kuwa
tetesi hizo zimekuwa zikimhuzunisha
kwa kiasi kikubwa. “Unajua hizi habari
kiukweli zimekuwa zikinihuzunisha
sana,” amesema msanii huyo. “Unajua
mie ni mtu mmoja ambaye sipendi
kuzunguzia mambo ya rumors, siju
magazeti huwa sipendi kuzungumzia
kabisa, kwa kuwa najua kabisa siwezi
kubishana na media kwakuwa media ni
kubwa, maana najua utaongea na huyu
na yule siku ya siku utagombana na
watu. Ndio maana huwa nakaa kimya,”
ameongeza “Kusema ukweli hili suala
limekuwa likiniumiza ‘eti sijui kuna
vikao vya harusi mie nataka kumuoa
Meninah’ Kusema ukweli sina mahusiano
na Meninah. Kila mtu anajua mie nina
mahisiano Wema. Wema ndo mpenzi
wangu, ila wakati mwingine nakuwa
naelewa ile inakuwa ni trick ya
kibiashara. Mtu anajua hata
nikimuandika vipi ‘Diamond sijui
kafanya nini watu hawawezi kumchukia!
Kwahiyo wanaamua kunitengenezea
chuki na maadui kwa watu kuwa nipo na
mwanamke wangu halafu
namsaliti.”Meninah “Unajua kitendo
hicho hatamaye kinaniudhi naona mtu
yupo na mpenzi wake halafu anamsaliti.
Najua hicho ni kitendo ambacho kila mtu
hakimpendezi. Kwahiyo wanaamua
kunitengenezea chuki na maadui kupitia
njia hiyo. Labda wana wasanii wao, sasa
wanaona tukiingia kwa njia hii tutaweza
kuamharibia Diamond. Ndioa siku zote
nimekuwa kimya tu ila sina mahusiano
na Meninah. Mie nikiwa na mtu huwa
sifichi naweka wazi kabisa. Hata kama
leo nimeachana na Wema nasema tu,
why nifiche? Mie katika mambo yangu
huwa simuogopi mtu kama ningekuwa
nataka kuoa basi ninge weka wazi why
nifiche?? MSIMAMO
WANGU➡1.SITAONGELEA TETESI ZA
HAYA MAHUSIANO SBB MAPENZI
HAYAINGILIWI..2.SITAPIGA KURA WALA
SITAPROMOTE UPIGAJI KURA KWA DAI
MPK WEMA ATAKAPOFUNGUKA!
3.UKIMKASHFU WEMA SITAKUACHA!!
�� From ma bebe
@usipojipangantakupanga
Chapisha Maoni