wamemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, kuzuia mikutano ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinana, kama alivyozuia mikutano na maandamano ya vyama
vya siasa vinavyoundwa na Ukawa.
Hayo yamezungumzwa na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Lissu wakati akizungunmza na waandishi wa habari leo, makao makuu ya chama
hicho, Kinondoni jijini Dar es Salaam .
Aidha umoja huo umetoa tamko juu ya amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania kuhusu mamlaka ya Bunge Maalum la Katiba kwa kumuunga mkono Saed Kubenea aliyekuwa amefungua kesi ya
kuitaka Mahakama Kuu itoe ufafanuzi wa mamlaka ya bunge hilo kwa mujibu wa kifungu cha 25 cha sheria ya mabadiliko ya katiba, sura ya 83 ya
sheria za nchi yetu.
Chapisha Maoni