0
ARSENAL imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji Sunderland Uwanja wa Light katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo.

Alexis Sanchez aliifungia mabao yote hayo timu ya Arsene Wenger dakika ya 30 na la pili dakika ya 90.

Kikosi cha Sunderland kilikuwa; Mannone, Vergini, Van Aanholt, O’Shea, Brown, Cattermole, Larsson, Rodwell/Gomez dk74, Buckley, Johnson/Altidore dk74 na Fletcher/ Wickham dk51.

Arsenal; Szczesny, Chambers, Mertesacker, Monreal, Gibbs/Bellerin dk74, Arteta/Ramsey dk88, Flamini, Oxlade-Chamberlain/Rosicky
dk90, Cazorla, Sanchez na Welbeck.

Chapisha Maoni

 
Top