Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la
Kigoma, Joseph Mlola akipongezwa na
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Asie na
Wizara Maalum), Prof Mark Mwandosya
alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete kwenye ibada ya kusimikwa kwa askofu huyo iliyofanyika katika Kanisa Kuu Katoliki Kigoma, jana.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Asie na
Wizara Maalum), Prof Mark Mwandosya
akiwasalimia waumini wa Kanisa Katoliki alipomwakilisha Rais Jakaya Kikwete kwenye ibada ya sisimikwa kwa Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma, Joseph Mlola iliyofanyika katika Kanisa Kuu Katoliki Kigoma, jana.
Chapisha Maoni