ambayo atatunukiwa diamond siku si
nyingi zijazo ni ujanja ujanja wa msanii
huyo. chanzo kimedai kuwa msanii huyo
baada ya kusikia mwenzake wa kundi la
weusi aitwaye nicki wa pili ametangaza
kusomea phd siku chache zijazo. na
kuonekana kuwa atakua ndiye msanii wa
kwanza kuwa DR. kwa bongo. diamond
ameamua kufanya magumashi ambayo
kwa bongo hakuna kinachoshindikana
ilmradi tu apewe sifa hiyo na kuweza
kuweka historia bongo. chanzo kingine
kimefunguka na kudai kuwa ni ujanja wa
fiamond hili kujisafisha kwa watanzania
na kumpoteza alikiba ambaye
smeonekana kuwa tishio maisha ya
kimziki ya diamond
Chapisha Maoni