Yametimia!! Vyama vya Chadema, NCCR Mageuzi, CUF na NLD vimesaini makubaliano ya kuwa na ushirikiano katika shughuli za siasa ikiwa ni
pamoja kusimamisha mgombea mmoja katika ngazi mbalimbali za uchaguzi kuanzia uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa hadi Uchaguzi Mkuu
2015.
Chapisha Maoni