![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj25iJ67ubbBlpG4Co1knDOvkoV8dZWqY6bv65LQZyLVrzg_ejMLeg6G_z5xugjcrlvAUSfSrK59zvIr3C0hxNqRd3tgLcJDfWSjQvFnuEEFGaQ8f9hZFdCDBVc-XOrNiC9WSuoAMNbe58V/s640/1416077379537.jpg)
Mikutano yote ilikuwa mikubwa sana na yenye hamasa kubwa huku wenyeviti saba wa CCM wa vijiji kwenye jimbo la Ulanga Mashariki wakirudisha kadi
za CCM na kujiunga na CHADEMA na kuahidi kuongeza nguvu zaidi kwenye Operation Delete CCM ambapo watasaidia wagombea watakao simamishwa na Chadema pamoja na vyama vingine vya UKAWA.
Ziara za chama ndio zimeanza rasmi na zitakuwa endelevu bila kukoma mpaka 2015.
Chapisha Maoni