
Wasichana hao wawili ambao ni ndugu, wanasema walisumbuliwa na vijana na walipolalamika walishambuliwa.
Katika mitandao ya jamii wasichana hao
wanasifiwa na wamepewa jina la "shupavu wenye moyo" kwa kupigana kwa hamasa.
Wengine wanauliza kwanini abiria wengine hawakuingilia kati.
Wasichana kusumbuliwa hadharani limekuwa swala kubwa nchini India baada ya msichana kubakwa na hatimaye kufa kwenye basi mjini Delhi karibu miaka miwili iliyopita.
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.