0

Rapper Chidi Benz amejitosa kuzungumzia mkwaruzano uliotokea kati ya Diamond Platnumz
na msanii wa Nigeria Davido. Hiki ndicho
alichoandika kwenye ukurasa wake wa Facebook.

Mimi binafsi ningeweza kumwambia mdogo wangu Dimooond aseme haya mambo yapite na Davido sorry my brotha,watu wote tuacheni
marumbano na isiwe mapema hivi
tunashindana..wote Africa Lugha
zimechanganyana plus wajuaji wengi kazi yao chumvi tu hawajui haswa matatizo yanatuharibu
vipi binafsi..msishadadie tu ilimradi.eiza kuna projekt!

Ye akijaa kichwa afatishe watu na watu hao hao ndo husema mavi yaale siku akijinyea atakua anakosea,ikibidi anamwambia timba tandale
tuuchune vijiti nini plus gambe na wana au yeye anatimba kule mapicha nini hlf zile Africa tuko pamoja za kumwaga, yaishe asiyakuuuze.bado
anahitaji kwenda na ashinde tena.

Kabisa fundi..watu wanatengeneza story wanahisi wataonekana Nigeria na dogo atskua anaenda na kina tale tu na sijui nani,watu wanaweza panga
story ya mapanga,then wot?kwani yeye Diamond hawezi kusema naomba yaishe jamani na hakuna
baya hivyo.ajitengenezee basi kama
anavyotengeneza siku zoote.

posted from Bloggeroid

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top